Na haya ni baadhi ya yaliyotokea wakati wa Send Off ya Mke wangu Mtarajiwa.....
Nimeyaweka makusudi ili Vijana Zaidi wavutiwe kufunga Ndoa Takatifu.
Jionee mwenyewe na Ubarikiwe
Mimi na Mdogo wangu Kenny Julius Kabla ya kuingia kwenye Sherehe
Picha Zaidi Baadaae ....
Endelea Kufuatilia www.fundiinno.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
PLEASE LEAVE YOUR COMMENTS HERE. HELP BLOG DEVELOPMENT